Saturday, June 11, 2011

MUSHAC COMMUNITY EVENT WORK PHOTO

Mushac si mchezo kazi ni kazi, ubrothermen(usharobaro) na usisterdu pembeni.
Hebu cheki mambo hayo

 Bofya hapa chini kucheki zingine


   > Ama kweli si ufugaji tu hata kilimo unakiweza!.
   > Daah!!!!!!! upara umejaa jasho, pole sana ila msosi upo.
       > Mwacheza kiduku au mwapanda miti?
  > Jamani hata huku kuna viranja? hebu jionee
  > Kua makini! hali ya hewa itachafuka
  > Haki elimu inakutazama, ni kupanda miti au mengine!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
  > Broo mti utaota huo? mbona umekunja sura hivyo.
  > Ama kweli we mkulima. Kilima.......................................?

  >Jamani huu ni mpini au jembe? Mtoto wa mama kado watudanganya.
 

 Heeh! mnafukia mti au irizi? (wawili then katikati mmoja) du makubwaaaaaaaaaaaaaaaa.!!!!!!!!!!!!
 > Kipi sahihi kuanza kilimo kwanza au msosi kwanza.............!!!!!!!!!!!!!!!!!
  > Vp kaka hapo tarime au mkombozi? panga hilo
  >Na we kwa kuelekeza, je wanaelewa?

VIJANA MLIPIGA KAZI

No comments:

Post a Comment

MUSHAC tour

MUSHAC tour
TOUR